Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 06:07

China yaombwa kumwachia mwanamazingira.


Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake Marekani limeisihi China kumwachilia mwanamazingira wa Tibet .

Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake marekani limeisihi china kumwachilia mwanamazingira wa Tibet na kuchunguza tuhuma za utesaji ambazo yeye na wakili wake walidai katika kesi mahakamani. Kundi hilo la human rights watch lilisema jumatano kesi dhidi ya karma samdrup imegubikwa na ukiukwaji mkubwa na masharti dhidi yake kutoa utetezi. Mke wa samdrup amesema alishtuka kumwona mume wake katika mahakama jumanne huko yanji katika eneo lililojitenga la xinjiang uighur.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG