No media source currently available
Mpango wa kusafirisha chanjo aina ya Johnson & Johnson kutoka Afrika Kusini umezuiliwa kulingana na Mwakilishi wa Umoja wa Afrika. Wakati zikiwepo taarifa chanjo zilizokwisha safirishwa na Aspen mshirika wa Johnson & Johnson Ulaya zitarudishwa.
Ona maoni
Facebook Forum