Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Machi 25, 2023 Local time: 17:31

Mauwaji yaendelea Burundi


Askari na wanajeshi wa Burundi wakifanya ulinzi

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:01:47 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Mji mkuu wa Burundi, Bujumbura umeshudia mauwaji mengine ambapo watu tisa wameuwawa katika matukio tofauti wakiwemo watano waliouwawa na polisi asubuhi ya leo katika mtaa wa Cibitoke kaskazini mwa jiji.Polisi inasema watu hao walikufa wakati polisi ikikabiliana na watu waliowarushia guruneti ambayo imemuuwa polisi mmoja.Hii ni wataki milio ya risasi na miripoko mingine imesikika katika baadhi ya kata za jiji hilo usiku wa kuamkia hii leo na polisi mwingine kufariki dunia katika kata ya Bwiza kati kati mwa jiji la Bujumbura.

XS
SM
MD
LG