Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 25, 2024 Local time: 10:34

Bunge la Marekani lina siku tano kukubaliana bajeti ya serikali kuu


Spika wa bunge, Paul Ryan wa chama cha Republican.
Spika wa bunge, Paul Ryan wa chama cha Republican.

Muda unakwisha kwa bunge la Marekani kuwezesha serikali kuu isifungwe na kufanya kazi zake zote kama ilivyo sasa.

Mamlaka ya matumizi ya serikali kuu yanaisha Ijumaa saa sita usiku na mpaka sasa wa-Democrat na wa-Republican hawajaweza kukubaliana juu ya kuongeza matumizi ya fedha ya muda huku ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuanza mwaka mpya wa fedha wa serikali hapo Oktoba mosi.

Jengo la bunge la Marekani
Jengo la bunge la Marekani

Katika kile ambacho kimekuwa kikifanywa kila mwaka na Washington, wabunge wanaishia kuzozana wakati baadhi ya ofisi za serikali kuu zinapofungwa. Lengo la haraka: kusitisha mwanya wa muswada wa matumizi au kuendelea na suluhisho.

Wabunge wanapambana kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba ambao unaelezea kuhamasisha vitu kufanyika ikijumuisha kazi kamilifu za bunge na kurudi kwenye uwanja wa kampeni. Warepublican wanadhibiti mabunge yote na wanatetea viti zaidi bungeni kuliko wa-Democrat.

XS
SM
MD
LG