Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 15, 2024 Local time: 04:39

Waziri Mkuu Uingereza kujiuzulu


David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza
David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza
  • Upande wa "Ondoka" washinda katika kura ya maoni na hivyo kuifanya Uingereza kuwa nchi ya kwanza kujitoa katika Umoja wa Ulaya.
  • Waziri Mkuu David Cameroon atangaza kujiuzulu ifikapo Oktoba katika mkutano mkuu wa chama chake
  • Hesabu ya mwisho ya kura - "Ondoka": 17,410,742 yaishinda "Baki": 16,141,241
  • Thamani ya Paundi yashuka katika viwango vya chini kuliko vyote katika kipindi cha miaka 31
XS
SM
MD
LG