Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 10, 2022 Local time: 05:02

Waziri mkuu Boris Johnson apata ushindi mkubwa Uingereza


Waziri mkuu wa Uingereza na kiongozi wa chama cha Conservative Boris Johnson akizungumza na wafuasi wake wakati wa kampeni.

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson na chama chake cha Conservative wamepata ushindi mkubwa katika uchaguzi nchini humo wakijipatia viti 650 katika bunge.

Ushindi huo wa chama cha Conservative katika uchaguzi wa mapema unaweza kupelekea suluhishi katika suala la nchi hiyo kujitoa katika umoja wa ulaya, lililongojewa kwa muda mrefu jamboambalo lililipitishwa katika kura ya maoni mwaka 2016.

Chama cha Conservative kimejipatia viti 362, Labor 203, chama cha Scottish National 48, chama cha Liberal Democrats 11, Plaid Cymru 4, Tna The Greens kiti kimoja.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG