No media source currently available
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Jumatatu kwamba kamwe Marekani haitakuwa na jukumu la kupigana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Afghanistan, licha ya matukio ya kusikitisha ya Taliban kuchukua udhibiti wa mji mkuu Kabul.
Ona maoni
Facebook Forum