Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 04, 2022 Local time: 21:10

#BALonVOA2021 : Usikose kusikiliza Fainali ya Ligi ya BAL Jumapili


Nembo ya BAL

Mechi za Fainali ya BAL zitaanza na mechi kati ya Zamalek (Misri) wakipambana na US Monastir (Tunisia) mchana wa leo Jumapili saa 4:00 p.m CAT.

Mapema Leo Patriots (Rwanda) itakabiliana na Petro de Luanda (Angola) katika mchezo wa nafasi ya tatu saa 12:30 p.m CAT.

Jiunge nasi na usikilize mubashara matangazo ya Fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) , itakayochezwa Kigali, Rwanda.

Tusikilze kupitia https://bit.ly/2RcwsEd au stesheni ya radio ya VOA katika eneo lako.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG