No media source currently available
Petro de Luanda ya Angola imeishinda timu ya AS Police ya Mali kwa pointi 84-66, ambapo ilitawala kipindi chote cha mchezo huo katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika iliyochezwa Mei 18, mjini Kigali, Rwanda.
Ona maoni
Facebook Forum