Vatican imemchagua Kadinali Jorge Mario Bergoglio kuwa Baba Mtakatifu mpya kuongoza kanisa katoliki. Bergoglio kutoka Argentina atakuwa baba mtakatifu wa kwanza kutoka Amerika Kusini katika historia ya kanisa katoliki.
Jorge Mario Bergoglio achaguliwa Papa mpya
