Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Mei 27, 2024 Local time: 02:39

Argentina yaiadhibu Korea Kusini.


Gonzalo Higuain wwa Argentina akishangilia ushindi akiwa amepachika mabao matati katika mechi hiyo ya kundi B dhidi ya Korea Kusini.
Gonzalo Higuain wwa Argentina akishangilia ushindi akiwa amepachika mabao matati katika mechi hiyo ya kundi B dhidi ya Korea Kusini.

Ganzelo Higuain wa Argentina afunga mabao 3 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Korea Kusini

Ganzelo Higuain wa Argentina alifunga mabao 3 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Korea Kusini ambao umewahakikishia Argentina nafasi katika raundi ya pili ya Kombe la Dunia yanayoendelea Afrika Kusini.

Hiyo ni mara ya kwanza kwa mchezaji kupata mabao 3 katika mechi ya kombe la dunia tangu mwaka 2002 na kumfanya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kushika nafasi ya juu kwenye ufungaji wa magoli mpaka sasa katika fainali hizi.

Ikiwa imejipatia ushindi mara mbili katika raundi ya kwanza Argentina inaongoza kundi lake ikiwa na pointi 6.

XS
SM
MD
LG