Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Februari 07, 2023 Local time: 20:12

Swala la mapato kwenye kampeni za Marekani lajitokeza.


Mmoja wa wagombea Urais wa Marekani wa 2016 kawa tiketi ya Repablikan, Donald Trump.

Swala la mapato na gharama za maisha miongoni mwa Wamarekani ni jambo ambalo haliwezi kuepukika wakati kampeni za Urais zikiendelea.

Kwenye uchaguzi wa Rais hapa Marekani mwaka huu, swala la nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa kipato cha chini ni muhimu mno na limezua gumzo kuhusu kurejesha nafasi za kazi kwa wananchi. Baadhi ya wamarekani kwa hakika wameelezea hofu zao kuhusu kipato na gharama ya maisha inayoendelea kupanda kila uchao.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:06:02 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Swala jingine nyeti katika kampeni hizo ni tofauti za mapato miongoni mwa wamarekani ambapo utafiti umebaini kuwa watu milioni 49 nchini Marekani wanaishi katika hali ya umasikini akiwemo mtoto mmoja kwa kila wanne kama wanavyosimulia waandishi wa VOA, BMJ Murrithi na Harrison Kamau .

Bonyeza usikilize.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG