Upatikanaji viungo

Mazungumzo na Abdulshakur Aboud kutoka Equatorial Guinea


Mshabiki wa Ghana akishangilia ushindi wa timu yake Ijumaa

Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Abdushakur Aboud yuko Equatorial Guinea akiripoti kuhusu mashindano ya fainali za kombe la mataifa Afrika. Tunazungumza naye kuhusu hatua za kwanza za michuano hiyo na habari nyingine zinazokwenda na fainali hizo.

XS
SM
MD
LG