Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 03:29

serikali ya Marekani


Serikali ya Kenya imesema italipiza kisasi ikiwa Marekani itatekeleza tishio lake la kumpiga marufuku afisa wa cheo cha juu kwenye serikali ya Kenya kutoingia nchini Marekani.

XS
SM
MD
LG