Print
Chama tawala nchini Sudan kinasema kitajumuisha makundi ya upinzani kuungana na serikali kama kitashinda uchaguzi mkuu.