Upatikanaji viungo

Miripuko Baghdad yasababisha vifo 35


Miripuko mitano tofauti ya mabomu Baghdad imesababisha vifo vya watu 35 na 40 kujeruhiwa, waeleza maafisa wa usalama. Miripuko yazusha wasi wasi kutokana na mvutano wa kisiasa.

XS
SM
MD
LG