Upatikanaji viungo

Zoezi la kusajili wapiga kura laashiria kufanikiwa 


Mwenyekiti wa tume ya huru ya uchaguzi Kenya Amhed Issac Hassan asema zoezi la kusajili wapiga kura limeanza kuonyesha mafanikio makubwa na kwamba tayari watu zaidi ya laki 7 wamesajiliwa.

XS
SM
MD
LG