Waziri Hillary Clinton anasema mpango wa Rais Karzai kuwaingiza wa Taliban kurudi katika jamii kutarudisha uthabiti mkubwa na usalama nchini Afghanistan.