Print
Kiongozi wa chama kinachotetea haki za waislam nchini Kenya, Al Amin Kimanthi amefikishwa mahakamani kwa shtaka la kuchochea ghasia kwenye maandamano Ijumaa iliyopita.