Upatikanaji viungo

Majadiliano ya kutafuta suluhu la ongezeko la joto yaendelea


Majadiliano yaendelea Copenhagen,kutafuta suluhu la kupunguza vitisho vya ongezeko la joto duniani,huku Uingereza na Ufaransa zikiahidi zaidi ya dola bilioni 2 kusaidia juhudi hizo.

XS
SM
MD
LG