Print
Wapatanishi wawili wa mzozo wa uchaguzi Kenya, Koffi Annan na Graca Machel washauriana na Rais Kibaki kuhusu mabadiliko muhimu ya kisheria, kikatiba na kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.