Rais Kibaki na Waziri Mkuu Odinga waongoza mkutano wa faragha Mombasa kumaliza mizozo baina ya vyama vyao PNU na ODM.Watu kadhaa wajeruhiwa katika ajali ya basi na trela karibu na Nakuru.