Print
Mwendesha mashitaka mkuu wa ICC Moreno Ocampo afanya mkutano wa faragha na Rais Kibaki na waziri mkuu Odinga. Viongozi wa nchi 11 wakutana Burundi kuzungumzia amani,usalama na maendeleo.