Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Machi 26, 2023 Local time: 06:02

wanasiasa 15 kupewa onyo na Marekani


Ubalozi wa Marekani Nairobi watoa onyo kwa wanasiasa 15 mashuhuri la kuwapiga marufuku kuingia nchini Marekani. Mafua ya nguruwe Kenya yaongezeka kwa kasi na kuambukiza watu 191.

XS
SM
MD
LG