Print
Jaji Mbaluto wa mahakama kuu Kenya afutwa kazi kwa madai ya ufisadi.Wanajeshi wa umoja wa Afrika waliojeruhiwa katika shambulizi la Mogadishu na kundi la al Shabab watibiwa mjini Nairobi.