Print
Serikali ya Kenya yatoa shilingi milioni 64 kusaidia waathiriwa wa moto katika kisiwa cha Faza. Rais Yoweri Museveni afunga vituo vitano vya radio kufuatia ghasia za jana nchini Uganda.