Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Mei 23, 2024 Local time: 02:51

maharamia wazuilia ndege Kenya


Polisi wa Kenya wanaizuilia ndege ya maharamia wa kisomali katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Ushelisheli kuelekea Mogadishu.

XS
SM
MD
LG