Print
Watu 240 katika jimbo la Rift Valley nchini Kenya wameonyesha dalili za ugonjwa hatari wa mafua ya nguruwe. Rais wa Misri leo atakutana hapa Washington na Rais Barack Obama.