Print
Waathiriwa wa njaa Kenya wapewa namba ya simu kuwasiliana na serikali ili kupewa msaada wa haraka wa chakula. Waziri Clinton yuko Liberia kuunga mkono rais pekee mwanamke barani Afrika.