Print
Maelfu ya wafanyakazi wa mawasiliano Afrika Kusini wameanza mgomo leo. Waziri mkuu wa Zimbabwe akutana na rais Zuma wa Afrika Kusini, kueleza hali ya serikali ya mseto.