Upatikanaji viungo

Kibaki, Raila wakutana


Kibaki na Raila wajadili kuundwa kwa mahakama maalum katika kikao cha baraza la mawaziri. Rais wa zamani Liberia Charles Taylor asema katika ushahidi wake wa kwanza mashitaka ni uwongo mtupu.

XS
SM
MD
LG