Print
Korea Kaskazini ilifyatua jana kombora jingine la masafa mafupi, wakati Baraza la Usalama likijadili hatua za kuchukua dhidi ya taifa hilo.