Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 05:37

Wasifu wa Jacob Zuma


Rais wa chama tawala cha African National Congress, Jacob Zuma aliuongoza umati wa watu kuimba wimbo ambao ulikuwa unapinga ubaguzi wa rangi, wimbo huo unasema tunasonga mbele, aliuimba wakati wa mkutano wa kampeni mjini Johannesburg.

Zuma pia anapenda kucheza ngoma katika mikutano yake na anapozungumza kwa lugha ya kizulu, hawa wakati wa mkutano katika eneo la nyumbani kwao, matamshi yake yanakuwa na mifano na mithali.

Wakati fulani alikaririwa akiuliza, ni kitu gani ANC imefanya tangu kumalizika ubaguzi mwaka 1994 na imefanya kosa gani? Alisema kuwa waafrika kusini lazima wazungumze na kujadili kuhusu mapungufu yaliyojitokeza.

Bonyeza Wasifu-Zuma kusikiliza ripoti kamili.

Zinazohusiana

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG