Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Septemba 19, 2024 Local time: 14:57

Magenge yenye silaha yanawatumia raia kama ngao zao kutekeleza uhalifu; Buhari


Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari

Magenge yenye silaha ambayo yamewateka nyara maelfu ya abiria katika shambulizi la kwenye treni huko kaskazini mwa Nigeria yanatumia raia kama ngao ya kibinadamu na hivyo kufanya iwe vigumu kwa jeshi kutekeleza kazi ya uokoaji Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari alisema Jumatatu.

Shirika la reli la serikali ya Nigeria lilisema mwezi uliopita kuwa watu 168 walipotea kufuatia shambulizi la Machi 28. Vyombo vya habari vya ndani nchini humo wiki iliyopita vilionyesha video ya waathirika wa utekaji nyara huo akiwemo mtoto aliyezaliwa hivi karibuni na mmoja wa wanawake waliotekwa nyara.

Shirika la habari la Reuters halikuweza kuthibitisha uhalisia wa video hiyo.

XS
SM
MD
LG