Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 31, 2023 Local time: 17:48

Kiongozi wa kikomunisti Vietnam aaga dunia


Tổng Bí Thư Đỗ Mười thăm chính thức Bắc Kinh vào tháng 11/1995.

Aliyekuwa kiongozi wa chama cha kikomunisti nchini Vietnam Do Muoi, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 101.

Serikali imetangaza kwamba Muoi ameaaga dunia jumatatu usiku akipokea matibabu katika hospitali ya kijeshi baada ya kuugua kwa mda mrefu.

Muoi hajaonekana hadharani katika siku z hivi karibuni. Anatarajiwa kufanyiwa mazishi ya kitaifa japo matayarisho ya mazishi hayajatangazwa.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG