Upatikanaji viungo

Bunge la 10 la Uganda laanza vikao vyake


Uganda parliament entrance

Bunge la 10 la Uganda lilianza shughuli zake siku ya Jumatatu huku wabunge 458 wakianza kuapishwa katika shughuli iliyotarajiwa kuchukua siku tatu. Lakini licha ya kuapa kutetea maslahi ya nchi na kuwajibika kwa sheria za bunge,

Bunge la 10 la Uganda lilianza shughuli zake siku ya Jumatatu huku wabunge 458 wakianza kuapishwa katika shughuli iliyotarajiwa kuchukua siku tatu. Lakini licha ya kuapa kutetea maslahi ya nchi na kuwajibika kwa sheria za bunge, wabunge wengi walisema wataweka mbeke maslahi ya vyama vyao vya kisiasa, huku imani ya waganda ikionekana kudidimia, hata kabla ya bunge hilo kuanza vikao. Mwandishi wetu wa Kampala Kennes Bwire anaripoti.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG