Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 09:41

Wapiga kura wasubiri matokeo ya uchaguzi Uganda


Rais Yoweri Museveni akipiga kura yake.
Rais Yoweri Museveni akipiga kura yake.

Baada ya wapiga kura kuingia katika vituo vya kupigia kura siku ya Alhamisi sasa wanasubiri matokeo kwa hamu kubwa.

Uganda bado iko katika hali ya shauku kubwa huku watu wakisubiri matokeo ya uchaguzi baada ya kupiga kura siku ya Alhamisi.

Rais Yoweri Museveni aliyoko madarakani kwa miaka 30 anapata changamoto kutoka kwa wagombea saba wa upinzani.

VOA ilikuwa mitaani kufuatilia uchaguzi huo kama anavyoeleza mwandishi wetu Sunday Shomari jinsi uchaguzi ulivyoanza.

Uchaguzi Uganda
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:00 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Sasa watu kila pembe ya dunia wanasubiri kusikia nani aliyeibuka mshindi katika uchaguzi huo.

XS
SM
MD
LG