Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 04, 2023 Local time: 16:28

Majina ya washindani wa tuzo za Oscars 2016 yatangazwa


Tuzo za filamu za Oscars zinazotolewa kila mwaka zimetangaza majina ya filamu na washiriki watakaogombania vipengele mbalimbali vya tuzo hizo.

Majina hayo ya tuzo za Oscar kwa mwaka 2016 yametangazwa Alhamisi alfajiri Beverly Hills, California, ambapo ghafla yake inatarajiwa kufanyika Febuari 28 na kuongozwa na mchekeshaji Chris Rock.

FILAMU BORA: The Big Short, Bridge of Spies, Brooklyn, Mad Max: Fury Road, The Martian, The Revanant, Room na Sportlight

MWIGIZAJI BORA WA KIUME: Bryan Cranston (Trumbo), Matt Damon (The Martian), Leonardo DiCaprio (The Revanant), Michael Fassbender (Steve Jobs) na Eddie Redmayne (The Danish Girl)

MWIGIZAJI BORA WA KIKE: Kate Blanchett (Carol), Brie Larson (Room), Jennifer Lawrence (Joy), Charlotte Rampling (45 Years) na Saoirse Ronan (Brooklyn)

MWIGIZAJI MSAIDIZI WA KIUME: Christian Bale (The Big Short), Tom Hardy (The Revenant), Mark Ruffalo (Spotlight), Mark Rylance (Bridge of Spies) na Sylvester Stallone (Creed)

MWIGIZAJI MSAIDIZI WA KIKE: Jennifer Jason Leigh (The Hateful Eight), Rooney Mara (Carol), Rachel McAdams (Spotlight), Alicia Vikander (The Danish Girl), na Kate Winslet (Steve Jobs )

Kuweza kujua taarifa zaidi kuhusu tuzo za Oscars kwa mwaka huu wa 2016, angalia kipindi chetu cha Zulia Jekundu.

XS
SM
MD
LG