Upatikanaji viungo

Watu16 wauawa DRC


Wilaya ya Lubero ambako shambulizi limewaua watu wapatao 16 na kuwajeruhi wengine kadhaa

Takriban watu kumi na sita wamefariki kufuatia mashambulizi yaliyofanyika katika kijiji cha Miriki, wilaya ya Lubero, kwenye eneo la Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Sikiliza taarifa ya mwandishi wa Sauti ya Amerika austere Malivika, akiwa huko Kivu Kaskazini;

Maoni yako

Onyesha maoni

XS
SM
MD
LG