Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 17:44

Rais Omar Al-Bashir Arejea Sudan


Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, aliondoka nchini Afrika Kusini, Jumatatu, akipuuzia masharti ya mahakama ya Pretoria.

Mahakama hiyo ilimtaka yeye kubaki nchini humo mpaka pale itakapo amua kama anapaswa kukamatwa kwa uhalifu wa kivita na mashtaka ya mauaji ya halaiki.

Bwana Bashir, alikuwa amevalia vazi lake la kitamaduni, na kupungia watu kwa kutumia fimbo yake pale alipowasili mjini Khartoum huku akisema kwa sauti kubwa “mungu ni mkubwa.”

Bwana Bashir alikuwepo jijini Johannesburg kwa mkutano wa umoja wa Afrika, lakini mahakama ya uhalifu ya kimataifa ilitoa shauri la kukamatwa kwake wakati akiwa huko.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG