Upatikanaji viungo

Mwandishi wa Habari wa Marekani Aachiwa Huru Yemen


Muandishi wa habari wa marekani aliyeshikiliwa nchini Yemen ameachiwa huru.

Pamoja na kuachiwa kwake huru taarifa za kushikiliwa bado hazijajulikana lakini Marekani imeapa kuhakikisha Wamarekani zaidi wanaachiwa huru.

Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemtambulisha mwanahabari huyo kama Casey Coombs, anayeamainika kuwa ni mmoja wa Waandishi wa habari wa mwisho wa Marekani waliobaki nchini Yemen.

Hiyo ni baada ya waasi wa Hudhi kuchukuwa mji mkuu Sanaa, na kumuondoa rais mapema mwaka huu, na kuchochea oparesheni za kijeshi zinazoongozwa na Saudi Arabia.

Maoni yako

Onyesha maoni

XS
SM
MD
LG