Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Februari 27, 2024 Local time: 03:17

Uchaguzi wa Nigeria waahirishwa.

Wafuasi wakimkaribisha mgombea urais Muhammadu Buhari (ndani ya gari), wa chama cha All Progressives Congress party, wakati alipotembelea Gombe Ewakati wa mkutano wa uchaguzi February 3, 2015.
Wafuasi wakimkaribisha mgombea urais Muhammadu Buhari (ndani ya gari), wa chama cha All Progressives Congress party, wakati alipotembelea Gombe Ewakati wa mkutano wa uchaguzi February 3, 2015.

Shutuma zimeongezeka Jumapili huko Nigeria baada ya uamuzi wa kuahirisha uchaguzi wa urais February 14 kutokana na wasiwasi wa usalama kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Boko harm.

Chama cha upinzani All Progressive Congress (APC) kinachoongozwa na dikteta wa zamani wa jeshi Muhammadu Buhari, kilieleza kuahirishwa huko kama kikwazo kikubwa kwa demokrasia ya Nigeria lakini kikawataka Wanigeria wote kuwa watulivu.

Jumamosi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Attahiru Jegga alitangaza kuahirishwa kwa uchaguzi wa kiti cha rais na wabunge kutoka February 14 hadi Machi 28.

.

XS
SM
MD
LG