Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 10, 2022 Local time: 08:41

Waislam duniani washeherekea Eid el fitr.


Waislam washerehekea Eid el-Fitr.

Mamilioni ya waislam duniani wanasherehekea Eid al Fitr wakiadhimisha kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan .

Lakini wakati watu wengi wakikusanyika kwa sala na kushiriki katika sherehe mbali mbali Jumatatu katika nchi kama Indonesia na Misri, sherehe ni ya ukimya na huzuni kwa maeneo kama Ukanda wa Gaza na Malaysia.

Mamia ya wanaoabudu katika msikiti wa taifa huko Kuala Lumpur waliofanya maombi kwa ajili ya waathirika wa ndege mbili za Malaysia moja iliyoangushwa huko mashariki mwa Ukraine na nyingine iliyopotea ikiwa safarini kuelekea Beijing mwezi Machi.

XS
SM
MD
LG