Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 27, 2022 Local time: 08:33

Sheria mpya kuanza kutumika 2014 katika baadhi ya nchi.


Baruti huko Sydney, Australia, Jan. 1, 2014 wakisherekea mwaka mpya.
Sheria mpya zitaanza kutumika duniani kote mwaka 2014 huku baadhi zikiathiri nchi nyingi zaidi wakati nyingine ni jumuiya tu ambazo zimepitisha sheria hizo .

Latvia inakuwa taifa la 18 kwenye umoja wa ulaya leo , wakati Riga ikiendelea kujiweka kando na historia yake ya nyuma kama nchi ya kisoviet ya zamani.

Raia wa Latvia wataweza mara moja kutumia euro, pamoja na sarafu ya nchi hiyo Lat mpaka January kati kati.

Nchi nyingine pia zinafanya mabadiliko ya kitaifa .Huko Switzerland madereva itabidi wasizime taa zao hata mchana kweupe. Canada imepiga marufuku taa za glopu, wakati Bostwana wanapiga marufuku uwindaji wa tembo.
XS
SM
MD
LG