Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Aprili 24, 2024 Local time: 08:12

Flaviana Matata azungumzia ujasiria mali na mafanikio yake.


Flaviana matata Miss Universe Tanzania 2007/2008.
Flaviana matata Miss Universe Tanzania 2007/2008.
Mashindano ya urembo na mitindo yana nafasi ya pekee katika maisha ya vijana duniani kwa ujumla na katika jukwaa la Vijana tunazungumza na mlimbwende wa kimataifa Flaviana Matata kutoka Tanzania ambaye alishinda Taji la Miss Universe Tanzania mwaka 2007/2008 na hatimaye kushiriki Miss Universe huko Mexico ambako alishika nafasi ya sita, na hivi sasa anafanya kazi zake katika jiji la New York hapa Marekani na kwanza nilianza kwa kutaka kujua ushauri wake katika suala zima la ujasiriamali kwa vijana .
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:13 0:00
Kiungo cha moja kwa moja
XS
SM
MD
LG