Upatikanaji viungo

Katika jukwaa la vijana tunazungumza na kina dada Titi Shangirai, Eddie Nyerere na Fortunata Kasege waliotembelea Jukwaa la Vijana la idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika na kumulika suala zima la changamoto ya malezi ya Vijana haswa wa kike. Changamoto za kiuchumi , kimaisha na masuala ya kijamii na jinsi ya kuhakikisha wanatunza heshima yao na kuwa kioo bora cha jamii.Ungana nasi katika mahojiano haya.

XS
SM
MD
LG