Alhamisi, Mei 23, 2013 Local time: 02:18

Matangazo

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Ratiba: Monday-Friday
Saa (kwa saa za huku): 06:00
UTC saa ya kimataifa 0300
Muda: 30
Sikiliza: MP3 | Windows Media | Podcast


Jioni

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Ratiba Kila Siku
Saa (kwa saa za huku) 19:30
UTC saa ya kimataifa 1630
Muda 30
Sikiliza: MP3 | Windows Media | Podcast


Je Nifanyeje?

Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.

Ratiba Sat-Sun
Saa (kwa saa za huku) 20:00
UTC saa ya kimataifa 1700
Muda 30:00
Sikiliza: MP3 | Windows Media | Podcast