No media source currently available
Benki maarufu ya Uingereza Barclays imeuza zaidi ya asili mia 62 ya biashara zake huko Afrika katika juhudi za kufanya mageuzi ya benki hiyo duniani.