Jumapili, Novemba 29, 2015 Local time: 22:25

Habari / Afrika

Kiongozi wa waasi wa M23 azungumza na VOA

Kiongozi wa M23, Jean-Marie Runiga akishuka kwenye gari ili kuzungumza na vyombo vya habari mjini Goma, DRC, November 27, 2012.

Esther Githui-EwartMkamiti Kibayasi
Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika-VOA Ijumaa katika mahojiano ya moja kwa moja kiongozi wa kundi la uasi la M23, Jean Marie Runiga alisema yeye ni mtumishi wa Mungu na kwamba  ni askofu aliyeamua kuunda kundi la waasi  ili ‘kutetea haki za wanyonge’  katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

LIVE TALK-VOA SWAHILI 01-04-2013
LIVE TALK-VOA SWAHILI 01-04-2013i
|| 0:00:00
...    
 
X

Bw. Runiga amesema  Mungu hapendi kuona binadamu wakitaabika  na hivyo aliona  kheri kuanza juhudi  kuwakomboa wakongomani ambao hawajui maisha mengine ila taabu na mateso. Kiongozi huyo wa M23 amesema serikali ya Kabila imeshindwa kuwahudumia raia wa Congo na kwamba wengi wanakufa kila siku sio kwa sababu ya vita bali ukosefu wa huduma za kimsingi kama vile chakula na matibabu.
 
Alisema  DRC haina miundombinu, haina barabara, haina hospitali , wala shule za kutegemewa. Alisema wanawake wanazidi kubakwa yote haya akilaumu uongozi anaosema si halali wa serikali ya Rais Joseph Kabila. Bw. Runiga amesema mwishoni mwa wiki hii kundi lake na wawakilishi wa serikali ya DRC wanakutana Kampala, Uganda kuendela na juhudi mazungumzo ya kutafuta amani nchini Congo. Alisisitiza kuwa kundi lake linatoa nafasi ya amani kwanza, kwa ajili ya raia wa Congo.
 
Pia alikanusha madai kuwa Rwanda inafadhili kundi hilo akiongeza kwamba M23 halijapewa msaada wowote kutoka nje.

You May Like

Jioni

Jioni

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

VOA Express

VOA Express

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Alfajiri

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

mjadala huu umefungwa
Comment Sorting
Maoni
     
Na: KARUBANDIKA KIBALO Kutoka: Lexington, KENTUCKY-USA
06.01.2013 06:20
Really what the M23 Leader has said is truth, in the Democratic Republic of Congo, there is no Leader responsible of taking in charge his people, there is no active Administration, there is none hospital with adequate conditions,corruption is ongoing at all level in the government,We need change in the Country,Mr Joseph Kabila is laying his people, he is an irresponsible leader amongst the all leaders in the World.We never see in a country with a government set up, where there the parents have to take the charge of Paying the wages of Teachers in order to allow their kids to undertaking the studies ? unless in the Congo -Kinshasa? The DRC is a Country by Map, without government and Army.