Jumatano, Mei 27, 2015 Local time: 18:43

Habari / Afrika

Kagame asema hatagombea urais Rwanda 2017

Rais wa Rwanda, Paul KagameRais wa Rwanda, Paul Kagame
x
Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda Paul Kagame anasema hana nia ya kuwania muhula wa tatu wa urais wakati muhula wake utakapoisha mwaka 2017.
 
Bwana Kagame alivilaumu vyombo vya habari Jumatano kwa kuanzisha mdahalo iwapo yeye Kagame atakiuka katiba ya nchi na kuwania urais kwa muhula mwingine.
 
Februari 8, Kagame alikutana na kamati ya viongozi wa juu kitaifa wa chama chake na aliwaelekeza kupanga njia za kusonga mbele kwa nchi baada ya mwaka 2017 na kuzusha hisia kuwa alikitaka chama kuchanganua namna ataweza kuhudumu muhula wa tatu.
 
Katika mkutano na waandishi wa habari Jumatano Kagame alisema hana nia ya kuongoza muhula mwingine.

Chama kimoja cha upinzani cha siasa cha FDU-Inkingi kilisema katika taarifa yake wiki hii kwamba kililaani mbinu zozote zinazofanywa na Kagame kubadilisha  katiba na kuwania urais kwa muhula wa tatu.
mjadala huu umefungwa
Comment Sorting
Maoni
     
Na: Gibogo.m.y. Kutoka: Kigoma CATC
05.03.2013 01:30
President Paul Kagame;
we are highly need you to be our President in East Africa since your leadership is highly appreciated.we need you, even God knows
you as Man of action for you corruption is almost zero

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Matatizo ya Miundombinu Dar Es Salaami
|| 0:00:00
...  
🔇
X
21.05.2015 05:17
Wakazi wa Dar es Salaam wanasema ukosefu wa miundo mbinu inayostahiki ndiyo inasababisha matatizo ya uchafu, huduma za maji na nishati.